TV Room.
The lounge.
Her Bedroom.
Chumbani kuna dressing table mbili, kiti cha massage na mini saloon chezeaaa.
Ndani ya nyumba
yake kuna sehemu maalum ya kufanyia interviews kama anavyo onekana hapo
akiwa kwenye hilo eneo akifanyiwa interview na Zamaradi wa Clouds TV.
Mini bar.
Dinning room.
Sehemu ya interview inavyo onekana. Pazuri eeee???.
Wema akiwa amechill nyumbani kwake.
Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV
Wema, Snura & Zamaradi
Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya nyuma ya Wema.
Gari yake ya kwanza ilikuwa hii
Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda
No comments:
Post a Comment