Jamani
tunamuhitaji Mungu kwa namna ya peeke. Hebu soma hii story As you may
know I have twins McNathan & Mirabel; mimi na familia yangu tunaishi
Tabata-Liwiti.Tulikuwa na wasichana wawili wa kazi na mmoja aliondokaga
akabaki mmoja; hivyo tukawa ktk harakati za kutafuta potential
replacement ili wawe wawili. Here comes the
story
part I. Jana 21.08.2012 nlipotoka job, wife alinipa taarifa kuwa mdogo
wangu wa kike (mwenye salon ya kike kimanga) alimpigia simu kuwa amepata
msichana na atakuja nae home jioni akifunga saluni.Ikabidi nimpigie
simu mdogo wangu ili anipe full information.Mdogo wangu akanimbia majira
ya jioni uyo msichana alifika Saluni kwake akidai anatafuta kazi za
ndani. Uyo msichana akasema yeye alikuwa anfanya kazi morogoro but
ametoroka kwani alikuwa anateswa na mama mwenye nyumba.uyo msichana
akizidi kuongeza kuwa yeye hana mawasiliano ya ndugu yeyote ila baba
yake anishi mwanza but hanjui mama yake. Basi mdogo wangu akamuonea
huruma akamkaribisha saluni ilia je nae home jioni na nifanye nae
mahojiano ya kina. Jana majira ya saa 3 usiku baada ya wao kurejea home
na kula chakula ikabidi nianze kumhoji yule binti. Akanitajia jina lake
na umri wake 15yrs,
na nia yake ni kufanya kazi za ndani na akipata pesa ataenda kwao
kusalimia then angerudi tena kuendelea na kazi yake.Ni binti mdogo na
nilitamani kumsaidia.Baada ya kupata maelezo kutoka kwake; nilimuambia
kwa sababu hatumfahamu ni lazima tukatoe report kwa balozi/mjumbe kabla
hajaenda kulala na alikubali.Nikaenda kwa mjumbe akawa ameshalala;
ikabidi nimwambie wife kesho asubuhi (yaani leo) wakiamka waende kwa
balozi/mjumbe kutoa taarifa na kuandikishana. Leo asubuhi najiandaa
kwenda kazini; kumbe yule binti ametoroka mapema asubuhi after mlango na
geti kufunguliwa.Majirani wakasema walimuona katoka na viatu mkononi
wakazani anaenda kutupa taka coz alikuwa anafagiafagia nje. Kuangalia
vitu sebuleni na chumbani kwa kina dada ikaonekana everything is OK.Basi
nikawmambia mdogo wangu na kijana flani wa jirani wamfuatilie then mimi
nikaondoka zangu kuelekea job. Here comes the
story
part II. Majira ya saa 4 asubuhi nikiwa job nilimpigia simu mdogo wangu
anitaarifu yaliyojiri: Akaniambia yule binti walimuona na akakimbilia
nursery school flani karibia na barakuda na kwa msaada wa raia wengine
walimkamata.Walimpiga kidogo na kumsachi. Walimkuta na elfu 90 na
alikiri kuwa aliziiba ktk wallet ya mdogo wangu. Ikabidi mdogo wangu
achukue bodaboda wakaenda nae hadi saluni kwake kimanga ili akamhoji
zaidi.Yule binti akasema kuwa alitudanganya hajatokea morogoro but
anaishi na bibi ake mbagala na ule ndo mchezo wake yeye na bibi
yake.Akasema kuwa bib ake ni mchawi na huwa anamtumaga kwa nyumba za
watu kwa mbinu ya kuomba kazi but baadae wanaiba na kuchukua watoto
wadogo kimazingara.Akaongeza kuwa hao watoto wadogo huwa wanawachukua
misukule na wengine wakiwa wakubwa wanatumwa kama alivyotumwa yeye.Yote
hayo aliyasema bila
woga huku watu wakiwa wamemzunguka pale saluni.Akasema kuwa jana
alipoingia getini bibi ake alikuja kimazingara but ghafla macho yake
yalianza kumuwasha na hakuwa na amani. Kuona vile bibi ake
akaondoka.Ilipofika muda wa kulala alienda kuoga but aliporudi chumbani
alimkuta mdogo wangu anasali ndipo alipigwa na miale ya blue na nyekundu
akakimbia kurudi sebuleni.Aliporudi sebuleni alimkuta wife anachek TV
nae wife akashtuka kumuona yule binti hana amani.Baade yule binti
akaenda kulala ndipo wife akachukua maji ya Baraka akanyunyiza pale
mlangoni na sebuleni kisha akaenda kulala.Yule binti akazidi kuelezea
kuwa usiku hakulala kwani aliteseka sana na kuweweseka na bibi ake
alipokuja kimazingara hawakuweza kuchukua watoto ikabidi aondoke na
kumuacha yule binti kwani alikuwa kaishiwa nguvu.Akasema tangu aanze iyo
kazi hajawahi kukamatwa na akmeshangaa sisi tumeweza kumkamata na
kueleza siri zake. Akasema bibi ake alimjia kimazingara na akamwambia
asirudi
kwake kwani ametoa siri.Alionesha CHALI alizochanjwa na bibi ake kama
kinga na alipokuwa anapigwa hakusikia maumivu yoyote. Alielezea mambo
mengi ambayo mdogo wangu hakuweza kunielezea ktk simu kwani nae alikuwa
anatetemeka kutoamini yaliyoukuwa yanatokea. Walimuachia akaondoka zake.
I felt so sorry for my twins but I thank GOD wamebaki salama. Tuwe
makini sana na wasichana wa kazi ndugu zangu; you may share it to your
relatives and beloved
No comments:
Post a Comment