Saturday, September 8, 2012

VMA Winners 2012: Complete List

The 2012 MTV Video Music Awards offered a wealth of surprises from big-name entertainers as they graced the stage to perform. Some stars also shocked the crowd with their respective wins, holding their Moonman with confidence.

Demi Lovato opened the festivities, singing "Give Your Heart a Break," Alicia Keys welcomed Nicki Minaj and Olympic gold medalist Gabby Douglas during her "Girl on Fire" set and Taylor Swift channeled her inner Where's Waldo (that red-and-white top surprised us) while delivering "We Are Never Ever Getting Back Together."

Chris Brown bested rival Drake for Best Male Video with "Turn Up the Music" and Coldplay scored Best Rock Video for "Paradise." But some of the biggest wins of the night were awarded to Rihanna and One Direction. The British boy band won the highest number of awards with three: Best New Artist, Best Pop Video and Most Share-Worthy Video and RiRi's "We Found Love" earned her Video of the Year.

Check out the night's full list of winners below.


Best Video With a Message
Demi Lovato, "Skyscraper" -- WINNER
Rise Against, "Ballad of Hollis Brown"
Kelly Clarkson, "Dark Side"
Gym Class Heroes, "The Fighter"
K'Naan feat. Nelly Furtado, "Is Anybody Out There?"
Lil Wayne, "How to Love"

Best Electronic Dance Music Video
Duck Sauce, "Big Bad Wolf"
Calvin Harris, "Feel So Close" -- WINNER
Skrillex, "First of the Year (Equinox)"
Martin Solveig, "The Night Out"
Avicii, "Le7els"

Most Share-Worthy Video
One Direction, "What Makes You Beautiful" -- WINNER
Just Bieber, "Boyfriend"
Beyonce, "Countdown"
Carly Rae Jepsen, "Call Me Maybe"
Gotye, "Somebody That I Used to Know"

Best Pop Video
One Direction, "What Makes You Beautiful" -- WINNER
Fun. feat. Janelle Monae, "We Are Young"
Rihanna, "We Found Love"
Justin Bieber, "Boyfriend"
Maroon 5 feat. Wiz Khalifa, "Payphone"

Best Male Video
Justin Bieber, "Boyfriend"
Frank Ocean, "Swim Good"
Drake feat. Rihanna, "Take Care"
Chris Brown, "Turn Up the Music" -- WINNER
Usher, "Climax"

Best Hip-Hop Video
Childish Gambino, "Heartbeat"
Drake feat. Lil Wayne, "HYFR" -- WINNER
Kanye West feat. Pusha T, Big Sean & 2 Chainz, "Mercy"
Watch the Throne, "Paris"
Nicki Minaj feat. 2 Chainz, "Beez in the Trap"

Best Female Video
Rihanna, "We Found Love"
Katy Perry, "Part of Me"
Beyoncé, "Love on Top"
Nicki Minaj, "Starships" -- WINNER
Selena Gomez & The Scene, "Love You Like a Love Song"

Best Rock Video
Coldplay, "Paradise" -- WINNER
The Black Keys, "Lonely Boy"
Linkin Park, "Burn It Down"
Jack White, "Sixteen Saltines"
Imagine Dragons, "It's Time"

Best New Artist
Fun. feat. Janelle Monae, "We Are Young"
Carly Rae Jepsen, "Call Me Maybe"
Frank Ocean, "Swim Good"
One Direction, "What Makes You Beautiful" -- WINNER
The Wanted, "Glad You Came"

Video of the Year
Katy Perry, "Wide Awake"
Gotye, "Somebody That I Used To Know"
Rihanna, "We Found Love" -- WINNER
Drake feat. Rihanna, "Take Care"
M.I.A., "Bad Girls"

Amber Rose Shows Off Her Baby Bump On The Red Carpet

Saturday, September 1, 2012

WASANII WA BONGO FLEVA NA CLOUDS FM WATOA MSAADA MKOA WA MARA


 



 Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva wakiongozwa na baadhi ya Wafanyakazi wa Clouds Media Group wakiwa katika picha ya pamoja jioni ya leo na watoto wanaolelewa  na kituo cha watoto Yatima/waishio katika mazingira sambamba na walezi wao kiitwacho Jipe Moyo Center,kilichopo kata ya Mwisenge,Musoma mjini mkoani Mara.Kampuni ya Clouds Media Group ikishirikiana na wasanii mbalimbali ambao jioni ya leo watatumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,wametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa ajili ya kituo hicho chenye jumla ya watoto 17 waliopo kituoni hapo.

 Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Prof Jay akishiriki kukabidhi sehemu ya msaada kwa niaba ya wasanii wenzake kwa baadhi ya watoto wanaolelewa na kituo hicho,kushoto ni Ofisa Mahusiano wa Clouds Media Group akikabidhi pia sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo kwa walezi wa kituo hicho,kilichopo Musoma Mjini.
 Mratibu Msaidizi wa kituo hicho cha Jipe Moyo Center,Bi.Imelda Odoyo akitoa mkono wa shukurani kwa ujio wao kwa baadhi ya Wasanii  mahiri wa hip hop hapa Bongo Prof. Jay na Fid Q . 
Afisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Simalenga akizungumza machache kwa niaba ya Kampuni na pia kwa wasanii aliombatana nao,katika suala zima la kukabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa kituo hicho mapema leo jioni,kulia kwake ni Mratibu Msaidizi wa kituo hicho cha Jipe Moyo Center,Bi.Imelda Odoyo na kushoto ni Mratibu wa kazi za kijamii wa kituo hicho,Bwa.Pantaleo Magesa Kuyenga.
Mratibu wa kazi za kijamii wa kituo hicho,Bwa.Pantaleo Magesa Kuyenga akiwakaribisha vyema baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Clouds Media Group na Wasanii walioambana nao jioni ya leo,akiwemo Prof Jay,Fid Q,Chege,Mwasiti,Bibi Cheke,Omy Dimpo,Bob Junior,Roma,Barnaba na wengineo. 
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya,wakiongozwa na mkongwe wa muziki wa Bongofleva,Prof Jay wakitia saini kitabu cha wakati,mara walipowasili kwenye kituo cha Jipe Moyo Center jioni ya leo,wasanii hao watatumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,ambapo kesho pia watakamua kwenye uwanja wa Kambarage,mjini Sinyanga. 
Mmoja wa wasanii anaekuja kwa kasi katika anga ya bongofleva,Ommy Dimpo a.k.a Pozi kwa Pozi akijitambulisha mbele ya wenyeji,ambapo wageni wote wakiwamo wasanii walijtambulisha.
Mkongwe kwa umri lakini anakamua vilivyo kwenye anga ya bongofleva,Bibi Cheka nae akijitambulisha mbele ya wenyeji.
Sehemu ya misaada kama inavyoonekana mara baada ya kukabidhiwa kwenye kituo hicho.
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwasili kwenye kituo cha kulelea watoto Yatima/waishio katika mazingira magumu kiitwacho Jipe Moyo Center,kilichopo kata ya Mwisenge,Musoma mjini mkoani Mara.Kampuni ya Clouds Media Group ikishirikiana na wasanii mbalimbali ambao jioni ya leo watatumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,wametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa ajili ya kituo hicho chenye jumla ya watoto 17 waliopo kituoni hapo.

Friday, August 31, 2012

Problems build character‏

By Dr. Richard J. Krejci
Problems are the main ingredients for us to build character. The key to these building materials is that they need to be used in the right way to be able to fit and function correctly. And that right way is how we respond and learn. God is far more interested in our character than our comfort. In the grand scheme of things, the meaning of life, the reason we live the life we are given is our relationship with God, and then others around us. So the most important thing we have in those relationships is our character, the only two things we will take into eternity, is relationships and character.
 
"We can rejoice when we run into problems ...they help us learn to be patient and patience develops strength of character in us and helps us trust God more each time we use it until finally our hope and faith are strong and steady." Rom. 5:3-4 (LB)
 
Remember this main point: God is at work in your life, even when you cannot see Him. We will go though trials and suffering because of the sin that has infected the world and us. We will grow best for His glory by recognizing and confessing sin. Then we can grow even more when we learn and mature from those experiences. You will have far more contentment and joy in your life when you cooperate and allow God’s love to rule in your life, and surrender your fears, desires and pain over to Him.
Read Gal 2:20; Phil 1:6; 3:10

Usijione Mnyonge Kwa Kukosa Maisha Unayoyahitaji...Usivunjike Moyo Kwa Kuchelewa Kufikia Malengo...Kama Bado Unapumua Na Unasoma Haya Niliyoandika Hapa Basi Una Nafasi Bado Ya Kubadili Maisha Yako...Mungu Anakupenda Na Ndio Maana Kakupa Uzima Ili Ufikie Malengo...Endelea Kusali Na Kuzidisha Maombi, Jiamini...Unaweza!!!

kuweni macho" Hii ni Email nimetumiwa ilia naomba tusome sote!

Jamani tunamuhitaji Mungu kwa namna ya peeke. Hebu soma hii story As you may know I have twins McNathan & Mirabel; mimi na familia yangu tunaishi Tabata-Liwiti.Tulikuwa na wasichana wawili wa kazi na mmoja aliondokaga akabaki mmoja; hivyo tukawa ktk harakati za kutafuta potential replacement ili wawe wawili. Here comes the
 story part I. Jana 21.08.2012 nlipotoka job, wife alinipa taarifa kuwa mdogo wangu wa kike (mwenye salon ya kike kimanga) alimpigia simu kuwa amepata msichana na atakuja nae home jioni akifunga saluni.Ikabidi nimpigie simu mdogo wangu ili anipe full information.Mdogo wangu akanimbia majira ya jioni uyo msichana alifika Saluni kwake akidai anatafuta kazi za ndani. Uyo msichana akasema yeye alikuwa anfanya kazi morogoro but ametoroka kwani alikuwa anateswa na mama mwenye nyumba.uyo msichana akizidi kuongeza kuwa yeye hana mawasiliano ya ndugu yeyote ila baba yake anishi mwanza but hanjui mama yake. Basi mdogo wangu akamuonea huruma akamkaribisha saluni ilia je nae home jioni na nifanye nae mahojiano ya kina. Jana majira ya saa 3 usiku baada ya wao kurejea home na kula chakula ikabidi nianze kumhoji yule binti. Akanitajia jina lake na umri wake 15yrs, na nia yake ni kufanya kazi za ndani na akipata pesa ataenda kwao kusalimia then angerudi tena kuendelea na kazi yake.Ni binti mdogo na nilitamani kumsaidia.Baada ya kupata maelezo kutoka kwake; nilimuambia kwa sababu hatumfahamu ni lazima tukatoe report kwa balozi/mjumbe kabla hajaenda kulala na alikubali.Nikaenda kwa mjumbe akawa ameshalala; ikabidi nimwambie wife kesho asubuhi (yaani leo) wakiamka waende kwa balozi/mjumbe kutoa taarifa na kuandikishana. Leo asubuhi najiandaa kwenda kazini; kumbe yule binti ametoroka mapema asubuhi after mlango na geti kufunguliwa.Majirani wakasema walimuona katoka na viatu mkononi wakazani anaenda kutupa taka coz alikuwa anafagiafagia nje. Kuangalia vitu sebuleni na chumbani kwa kina dada ikaonekana everything is OK.Basi nikawmambia mdogo wangu na kijana flani wa jirani wamfuatilie then mimi nikaondoka zangu kuelekea job. Here comes the
 story part II. Majira ya saa 4 asubuhi nikiwa job nilimpigia simu mdogo wangu anitaarifu yaliyojiri: Akaniambia yule binti walimuona na akakimbilia nursery school flani karibia na barakuda na kwa msaada wa raia wengine walimkamata.Walimpiga kidogo na kumsachi. Walimkuta na elfu 90 na alikiri kuwa aliziiba ktk wallet ya mdogo wangu. Ikabidi mdogo wangu achukue bodaboda wakaenda nae hadi saluni kwake kimanga ili akamhoji zaidi.Yule binti akasema kuwa alitudanganya hajatokea morogoro but anaishi na bibi ake mbagala na ule ndo mchezo wake yeye na bibi yake.Akasema kuwa bib ake ni mchawi na huwa anamtumaga kwa nyumba za watu kwa mbinu ya kuomba kazi but baadae wanaiba na kuchukua watoto wadogo kimazingara.Akaongeza kuwa hao watoto wadogo huwa wanawachukua misukule na wengine wakiwa wakubwa wanatumwa kama alivyotumwa yeye.Yote hayo aliyasema bila woga huku watu wakiwa wamemzunguka pale saluni.Akasema kuwa jana alipoingia getini bibi ake alikuja kimazingara but ghafla macho yake yalianza kumuwasha na hakuwa na amani. Kuona vile bibi ake akaondoka.Ilipofika muda wa kulala alienda kuoga but aliporudi chumbani alimkuta mdogo wangu anasali ndipo alipigwa na miale ya blue na nyekundu akakimbia kurudi sebuleni.Aliporudi sebuleni alimkuta wife anachek TV nae wife akashtuka kumuona yule binti hana amani.Baade yule binti akaenda kulala ndipo wife akachukua maji ya Baraka akanyunyiza pale mlangoni na sebuleni kisha akaenda kulala.Yule binti akazidi kuelezea kuwa usiku hakulala kwani aliteseka sana na kuweweseka na bibi ake alipokuja kimazingara hawakuweza kuchukua watoto ikabidi aondoke na kumuacha yule binti kwani alikuwa kaishiwa nguvu.Akasema tangu aanze iyo kazi hajawahi kukamatwa na akmeshangaa sisi tumeweza kumkamata na kueleza siri zake. Akasema bibi ake alimjia kimazingara na akamwambia asirudi kwake kwani ametoa siri.Alionesha CHALI alizochanjwa na bibi ake kama kinga na alipokuwa anapigwa hakusikia maumivu yoyote. Alielezea mambo mengi ambayo mdogo wangu hakuweza kunielezea ktk simu kwani nae alikuwa anatetemeka kutoamini yaliyoukuwa yanatokea. Walimuachia akaondoka zake. I felt so sorry for my twins but I thank GOD wamebaki salama. Tuwe makini sana na wasichana wa kazi ndugu zangu; you may share it to your relatives and beloved

Chris Brown Dyes his hair Blue