JacquelineElinaike
Wednesday, April 11, 2012
MAZISHI YA MPENDWA WETU STEVEN KANUMBA !!!!
Mwili wa marehemu ikiingia viwanja vya Leaders
Mama mzazi wa Marehemu akisalimia mamia ya waombolezaji waliofika katika viwanja vya Leaders
Hemed na Yusuph ambao ni miongoni mwa wasanii waliowahi kufanya kazi na marehemu
watangazaji wa Clouds FM Millard na Kibonde wakiwa kazini
Viongozi mbalimbali wa Chama na serikali
Mama Mzazi akiaga mwili wa mwanawe
wakipita kutoa heshima zao za mwisho
Mji kasoro bahari nao walituma wawakilishi wao
Mama mzazi akiweka shada la maua katika kaburi la mwanae
Picha kwa hisani ya Jeff Msangi (
bongocelebrity.com)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment